| 
 02 Date : 
03 Quartier 
 | 
   | 
 / / 2012 
 | 
 05 N° du ménage : 
 | 
   | 
   | 
   | 
   | 
   | 
   | 
   | 
   | 
| 
 N° 
 | 
 MAULIZO 
 | 
 Majibu (Tia kiviringo kwenye jibu linalo
stahili) 
 | 
| 
 A 
 | 
 HALI YA JOZI/JAMAA 
 | 
| 
 A1 
 | 
 Nani ndiye msimamizi wa jamaa hili ? 
 | 
 1 - Baba 3 - Mwengine,
umujulishe  
2 - Mama 4 - Watoto wanaoishi
wenyewe 
 | 
| 
 A2 
 | 
 Hali ya kindowa ya 
msimamizi wa jamaa ni gani ? 
 | 
 1 - Hajaowa 5 - Ameachana na
bibi/bwana (Divorcé) 
2 - Anaowa bibi mumoja 6 -
Ametengana na bibi/bwana (Séparé) 
3 - Anaowa wabibi wengi 7 - Ana
rafiki wa muda (Union de fait) 
4 - Mjane 8 - Jibu lingine,
Ulijulishe   
 | 
| 
 A3 
 | 
 Msimamizi wa jamaa ana umri gani ? 
 | 
 I___I___I Myaka 
 | 
| 
 A4 
 | 
 Aina ya mtu anaye ulizwa 
Muna pashwa kuuliza tu watu ambao wana myaka juu
ya 15, kama mtu mkubwa hayuko kwa wakati ule, munaweza kurudi baadaye kama
hayuko kwa muda 
 | 
 1 - Mama ao Bibi wa nyumba 
2 - Kaka ao dada wa bwana/bibi wa nyumba
3- Mtoto wa nyumba 
4- Mwengine. Ajulishwe :  
 | 
| 
 A5 
 | 
 Wewe mwenyi kujibu una miaka ngapi/ Umri gani ? 
 | 
 I___I___I Myaka 
 | 
| 
 A6 
 | 
 Wewe mwenyi kujibu una jesya (Sexe) gani ? 
 | 
 1 - Mwanaume 2 - Mwanamke 
 | 
| 
 A7 
 | 
 Idadi ya watu ndani ya jamaa ? 
(Watu ambao wanaishi ndani ya nyumba moja na wana
changia chakula) 
 | 
 I___I___I Watu 
 | 
| 
 A8 
 | 
 Dini la msimamizi wa jamaa 
 | 
 1 - Mu katolika 4 - Mwislamu 
2 - Mu Protestanti 5 -
Mukimbangu 
3 - Mushahidi wa Jehova 6 -
Mwingine. Ajulishwe..... 
 | 
| 
 B 
 | 
 HALI YA JAMII NA UCHMI 
 | 
| 
 B1 
 | 
 Msimamizi wa jamaa ana fanya kazi gani ? 
 | 
 1 - Mlimaji 5 - Mchuruzi/Mfanya
viashara 
2 - Mfugaji 6 - Mfanya kazi wa
serkali 
3 - Mvuvi/Mwindaji 7 - Mfanya
kazi asiye wa serkali 
4-Ufundi wa mikono (Kushona, Kuranda
8- Hana kazi lolote 
mbao/Usermala) 9 - Jibu lingine.
Lijulishwe :  
 | 
| 
 B2 
 | 
 Msimamizi wa nyumba ali tumika myezi ngapi kwa myzi 12 iliyo pita
? (Kuanzia mwezi wa kenda wa mwaka wa 2011) 
 | 
 I___I___I Myezi 
 | 
| 
 B3 
 | 
 Namna gani unapata pato inayo kusaidia kwakusishi ? 
 | 
 1 - Naishi kwa mazao ya mashamba/Ufugo 5
- Kwa misaada ya pesa 
2 - Mazao ya uvuvi 6
-Kutafutatafuta 
3 - Mazao ya ufundi wa mikono/Uchuuzi 7
- Hakuna pato lolote ?B7 
4 - Msharaha 8 - Nmna ingine.
:  
 | 
| 
 B4 
 | 
 Ni kiasi gani ya pato lako ambayo una tumikisha kwa garama unazo
? 
 | 
 1 - Karibu bure 4 - Mingi kwa
nusu 
2 - Chini ya nusu 5 - Karibu
pato lote ama lote linatumikishwa 
3 - Karibu nusu 6 - Hata
kidogo, pato lote linawekwa 
 | 
| 
 B5 
 | 
 Msimamizi wa jamaa amesoma mpaka kiango/Somo gani ? 
 | 
 1 - Hakusomaka 3 - Shule la
segondari 5 - Hajuwi 
2 - Shule la Msingi 4 - Chuo
chikuu 
 | 
| 
 B6 
 | 
 Wewe mwenyi kuulizwa, umesoma mpaka kiango/somo gani ? 
 | 
 1 - Sikusomaka 3 - Shule la
segondari 
2 - Shule la Msingi 4 - Chuo
chikuu 
 | 
| 
 B7 
 | 
 Aina/Hali ya wanao ishi ndani ya nyumba 
 | 
 1 -Mwenyeji 3 - Anapangishwa
kwa bure (Bila malipo) 
2 - Mpangaj 4 -Jibu
lingine. Lijulishwe : 
 | 
| 
 B8 
 | 
 Nyumba ina jengwa na vifaa gani ? 
 | 
 1 -Magungu ao Nyasi (Majani) 4
- Matofali yasiyo chomwa 
2 - Udongo 5 - Matofali yanayo
chomwa, sima ao mawe 
3 - Mbao 6 - Jibu
lingine. Lijulishwe :  
 | 
| 
 B9 
 | 
 Muko na shamba ambalo munalimaka ? 
 | 
 1 - Ndiyo 4 B11 2 -
Hapana4 B12 
 | 
| 
 B10 
 | 
 Kama Ndiyo, Mazao ya shamba ina tumikishwa namna
gani ? 
 | 
 1 - Mazao ya uzishwa kwenyi soko 
2 - Mazao yalisha jamaa 
3 - Sehemu moja ya uzishwa kwenyi soko na sehemu
lingine lina lisha jamaa 
 | 
| 
 B11 
 | 
 Kuanzia myezi sita (6) iliyo pita, ilikufikia kuuzisha vifaa
fulani vya nyumbani vyenyi samani kutokana na upungufu wa pato/pesa ? 
 | 
 1 -Ndiyo 4 B11 2 - Hapana
4 B12 
 | 
| 
 B12 
 | 
 Kama NDIYO, kwa mfaa gani ? 
 | 
 1 - Kwa malipo ya nyumba ya upangaji 3
- Malipo ya matunzo 5 - Ndowa/Mali ya kuowa ao
kuowesha 
2 - Malisho 4 - Mamipo ya
masomo 6 - Lingine. Lijulishwe 
 | 
| 
 B13 
 | 
 GARAMA ZA JAMAA KWA MYEZI TATU ILIYO PITA 
 | 
   | 
 Myezi tatu (wamnane, wakenda, wakumi) 
 | 
   | 
a)  Usafirisaji (Transport) 
 
 | 
 FC 
 
 | 
 $ 
 
 | 
   | 
   | 
 FC 
 
 | 
 $ 
 
 | 
   | 
   | 
 FC 
 
 | 
 $ 
 
 | 
   | 
   | 
 FC 
 
 | 
 $ 
 
 | 
   | 
   | 
 FC 
 
 | 
 $ 
 
 | 
   | 
   | 
 FC 
 
 | 
 $ 
 
 | 
   | 
   | 
| 
 FC 
 | 
 $ 
 | 
   | 
   | 
| 
 B14 
 | 
 PATO LA JAMAA KWA MWEZI MOJA 
 | 
a)  Pato la jamaa (Uchuruzi, Mshahara, Kazi
zingine) 
 
 | 
 Pato kwa mwezi moja 
 
 | 
   | 
   | 
 FC 
 
 | 
 $ 
 
 | 
   | 
   | 
 FC 
 
 | 
 $ 
 
 | 
   | 
   | 
| 
 FC 
 | 
 $ 
 | 
   | 
   | 
| 
 C 
 | 
 MATUNZO YA AFYA 
 | 
| 
 C1 
 | 
 Imekuwa muda gani tangu ugonjwa wa mwisho umejitokeza kwako
ama kwa mwana memba moja wa jamaa mako ? 
 | 
 1 - Chini ya mwezi 1 3 - Kati
ya myezi 7 na 12 
2 - Kati ya myezi 3 na 6 4 -
Zaidi ya myezi 12 
 | 
   | 
 Kwa ugonjwa huo wa mwisho ulio jitokeza ndani ya jamaa/nyumba
: 
 | 
a)  Mgonjwa alikuwa wa aina gani (Mume ao muke) ? 
 
 | 
 1 - Mume 2 - Muke 
 
 | 
   | 
 1-Kati ya 0 na myezi11 2-Kati
yamwezi 12 na59 3 -Kati ya myaka 5 na 15
4-Zaidi ya myaka 15 
 
 | 
   | 
| 
 1 - Maleria 3 - Magonjwa za
kifua 4 - Suluba/Atoto 
2 - Kuhara 5 - Ugonjwa ingine.
Litajwe : 
 | 
   | 
| 
 C3 
 | 
 Kwa ugonjwa huo, mgonjwa alijielekeza kwenyi matunzo ? 
 | 
 1 - Ndio4 C4 2. Hapana
4 C5 
 | 
| 
 C4 
 | 
 Ni wapi alijielekeza kwa mara ya kwanza 
 | 
 1 - Kwenyi kituo cha afya cha serkali
(CS) 4 C7 
5 - Kwa mfumu 4 C7 
2 - Kwenyi kituo ndogo cha afya (Poste de
Santé) 4C7 6 - Kwenyi chumba cha maombi 4
C7 
3 - Kwenyi hospitali la serkali (HGR) 4
C7 7 - Dispensere ama clinike la ki binafsi 4 C7 
4 - Chumba cha kuuzisha dawa ao kwa muuzisha
dawa 
8 -Sababu lingine. Linjulishwe
4 C7 
barabarani 4 C7 
 | 
| 
 C5 
 | 
 Kwasababu gani ulipendelea kujielekeza kwa mara yakwanza kwa
Chumba cha kuuzisha dawa ao kwa muuzisha dawa barabarani 
 | 
 1 - Hakuna pesa 
2 - Beyi nzuri 
 | 
 3 - Ugonjwa haukukuwa wa hatari 
4 - Ni karibu sana 
 | 
| 
 C6 
 | 
 Kama Hapana, sababu gani haku jielekeza kwenyi matunzo ? 
 | 
 1 - Kwaku mwona mganga beyi ni kali 6 -
Waganga ha wakukuwa kwenyi kituo 
2 - Dawa ina beyi kali 7 - Kuto
kuaminia waganga 
3 - Hakuna pesa 8 - Kituo kina
patikana mbali 
4 - Ugonjwa haukukuwa wa hatari 9 -
Sababu lingine. Lijulishwe .  
5 - Hakuna usafiri 
 | 
| 
 C7 
 | 
 Kwa matunzo ya ugonjwa huo, mumelipishwa franka ngapi za Congo
(Andika 0 ikiwa hakulipishwa 
a)  Beyi ya matunzo kwa jumla (Kwa kumwona mganga, dawa na
vipimo) 
b)  Kwa usafirisaji (Transport) 
c)  Garama zinigine. Zitajwe . 
d)  Jumla 
 
 | 
 kitu) 
 | 
| 
 FC 
 | 
| 
 FC 
 | 
| 
 FC 
 | 
| 
 FC 
 | 
| 
 C8 
 | 
 Namna gani mgonjwa amelipa ? 
 | 
 1 - Amelipa pesa yote bila shida 
2 - Kwa kuuzisha kitu cha nyumbani ili apate
pesa 
3 - Ali tunzwa kwa deni 
4 - Kwa kukopa/Kukopesha kwa jirani ao ndugu 
5 - Hakulipishwa kwa sababu ni mnyonge 
6 - Jibu lingine. Litajwe .
 
 | 
| 
 C9 
 | 
 Ikiwa wewe ama mwanamemba wa jamaa lako anapatikana na
ugonjwa, ni kwenyi kituo cha afya cha serkali cha karibu ambako unajielekeza
kwa mara ya kwanza ? 
 | 
 1 - Ndiyo 2 - Hapana 
 | 
| 
 C10 
 | 
 Ikiwa mwanamemba wa jamaa (mkubwa ao moto) anagonjwa
malaria/homa, 
unaweza pendelea kulipa beyi gani (prix maximal)
kwa ugonjwa huo? 
 | 
 Mkubwa I I I I I I  I
FC 
Mtoto I I I I I I I
FC 
 | 
| 
 D 
 | 
 PARTICIPATION COMMUNAUTAIRE 
 | 
| 
 D1 
 | 
 Una mfahamu mtetezi (Relais Communautaire) wa eneo lenu la afya
(Aire de Santé) ? 
 | 
 1 - Ndiyo 2 - Hapana 
 | 
| 
 D2 
 | 
 Una juwa kazi za mtetezi (Relais Communautaire) ? 1
- Ndiyo 2 - Hapana 
 | 
| 
 D3 
 | 
 Mtetezi wenu wa eneo la afya ana wahusisha kujielekeza kwenyi
matunzo kwenyi kituo cha eneo lenu la afya ? 
 | 
 1 - Hata mara moja 2 - Kuna
mara 3 - Kwa kawaida 
 | 
| 
 D4 
 | 
 Kuna mtetezi wa eneo la afya (Relais Communautaire) ambaye ana
kujaka kuwaeleza habari za kituo cha eneo lenu la afya ? 
 | 
 1 - Hata mara moja 2 - Kuna
mara 3 - Kwa kawaida 
 | 
| 
 D5 
 | 
 Inakuwa muda gani tangu muli chagua watetezi (Relais
Communautaire) wa eneo lenu la afya? 
 | 
 1 - Kati ya0 na myezi 6 3 -
Zaidi ya mwaka 1 5 - Hajuwi 
2-Kati ya myezi 7 na12 4- Hata
mara moja 
 | 
| 
 D6 
 | 
 Wewe umekwisha kujielekeza kwenyi kituo cha afya kwa kufahamu
habari za eneo lenu la afya ? 
 | 
 1 - Ndiyo 2 - Hapana 
 |